HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 6 February 2018

MICHUZI TV: MWANAMITINDO ASIA IDAROUS ATANGAZA KULIACHIA TAMASHA LA LADY IN RED

Mwamitindo maarufu nchini, Asia Idarous Khamsin (katikati) akizunguza na waandishi wa habari juu ya Tamasha la Mitindo ya Mavazi la Lady In Red linalotarajiwa kufanyika Februari 9, 2018 katika ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es salaam ikiwa ni mwaka wake wa 15 toka kuanzishwa kwake, ambapo pia amesema anatarajia kuliachia Tamasha hilo kwa wanamitindo chipukizi na sasa ameamua kupumzia na kuwaachia vijana wenye damu changa kuliendeleza.
Mwamitindo maarufu nchini, Asia Idarous Khamsin akiwa na Mwanamitindo Martin Kadinda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad