Mtaa Kwa Mtaa Blog

MATUKIO YA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO MJINI DODOMA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ismani na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Kiteto, Emmanuel Papian Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ileje, Janet Mbene  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuui) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mji Mkongwe, Ali Saleh kwenye viwanja via Bunge Mjini Dodoma Februari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget