Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akipokewa na Meneja Mradi wa Safari City. James Kisarika alipotembelea mradi huo kujionea nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba (NHC).
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akipata naelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Safari City, James Kisarika(kulia) alipotembelea mradi huo kujionea nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba (NHC).
Baadhi ya Nyumba za Safari city
No comments:
Post a Comment