HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 25 January 2018

Waziri Ummy Mwalimu kuzindua Mashine ya CT SCAN Bugando Jijini Mwanza

Mashine hiyo ya uchunguzi wa mwili wa mwanadamu CT Scan (Computerized Tomography Scan) inatarajiwa kuzinduliwa kesho ijumaa Januari 26, 2018 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Waziri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad