Mtaa Kwa Mtaa Blog

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI RUVUMA KWA ZIARA.

Na Ditha Nyoni
Waziri mkuu Kassim Kajaliwa amewasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku sita ambapo katika ziara hii waziri mkuu atatembelea halimashauri ya Mbinga na Nyasa na kuhitimisha katika Manispaa ya Songea, nakuzungumza na wananchi katika uwanja wa majimaji,huku miradi mbalimbali anatarajia kutembelea ikiwemo kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la Tanesco.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget