HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 22 January 2018

WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),  Elizabeth Tagora akifungua mkutano wa wadau kuhusu mapitio ya Sera ya Ujenzi ya mwaka 2003 na uwasilishwaji wa rasimu ya Sera ya Ujenzi na Mkakati wa Utekelezaji 2018/19- 2029/30 jijini Dar es Salaam.
 Mwezeshaji wa majadiliano kuhusu rasimu ya Mkakati wa Utekelezaji wa sera ya Ujenzi ya mwaka 2018/19- 2029/30, Cyril Batalia akiwasilisha mada kwa wadau wa sekta ya ujenzi kuhusu mapitio ya sera mpya ya ujenzi kwenye mkutano wa wadau wa ujenzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya wadau wa sekta ya ujenzi wakijadili rasimu kuhusu mapitio ya sera mpya ya ujenzi na mkakati wa utekelezaji wake 2018/19- 2029/30 leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa sekta ya ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao cha mapitio ya sera mpya ya ujenzi na mkakati wa utekelezaji wake 2018/19- 2029/30 leo jijini Dar es Salaam( Picha na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad