HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 9 January 2018

VIDEO:WAZIRI MKUU AIAGIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUUNDA CHOMBO KITAKACHOSIMAMIA MASUALA YA FUKWE

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya maliasili na utalii kuunda chombo kitakachomamia maeneo yenye fukwe, ili kulinda maeneo hayo yaweze kuvutiwa na watalii wakigeni wanaokuja katika maeneo hayo. Waziri mkuu ameyasema hayo wakati wa kufunga tamasha la utalii lililofanyika Mabamba Bay wilayani ya NYASA mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad