HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 29 January 2018

VIDEO:ASKARI 16 WA JESHI LA POLISI WATUNUKIWA VYETI

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa RUVUMA Gemini mushi amewatunuku vyeti askari 16 kikosi cha usalama barabarani kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kipindi cha mwaka 2016 na 2017.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad