HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 29 January 2018

NAIBU SPIKA, MHE. DKT. TULIA ACKSON AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

 Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo, kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya uongozi, Mheshimiwa Mwanne Mchemba akizungumza wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo. kulia ni Mjumbe Mheshimiwa Naghenjwa kaboyoka na kushoto ni Mjumbe pia Mheshimiwa Najma Giga, ​​katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakimsikiliza Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo, kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. 
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad