HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 15 January 2018

MAWAZIRI WANNE WAFANYA ZIARA JNIA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba akizungumza  na Naibu Waziri wa Ujenzi,  Mawasiliano na Uchukuzi  Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto) wakati walipofanya ziara ya kukagua Changamoto mbalimbali zilizopo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es salaam . Wengine ni Waziri wa  Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala (katika) na kulia ni Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba wakisikiliza.
 Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilika kwa ziara ya kukagua changamoto mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es salaam kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala.
Waziri wa  Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua changamoto mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam wengine ni  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Ujenzi,  Mawasiliano na Uchukuzi  Mhandisi Atashasta Nditiye na Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba.
 Waziri wa  Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala (katikati) akiongozana na Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba (kushoto)  na Naibu Waziri wa Ujenzi,  Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia).
 Kutoka kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba, Waziri wa  Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Ujenzi,  Mawasiliano na Uchukuzi  Mhandisi Atashasta Nditiye na   Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Richard Mayongela wakitafakari jambo wakati wa ziara ya kukagua changamoto mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad