Mtaa Kwa Mtaa Blog

VIDEO :RC RUVUMA ASEMA WAANDISHI WA HABARI KATIKA MKOA WA RUVUMA SIO MAADUI

Na Ditha Nyoni
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amewataka wakuuu wa idara na taasisi mbalimbali mkoani hapo kutowaona waandishi wa habari kama maadui kwao badala yake wawape habari kwa ajili ya maslai ya mkoa ili mkoa wa ruvuma uweze kutangazika ,rai hiyo ameitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza vivutio vya utalii huku akiwaasa waandishi kufanya kazi kwa waledi,na wakuu wa idara wametakiwa kutoa habari mara moja au kuruhusu wafanyakazi wengine kutoa taarifa zao kwa usahihi.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget