HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 2 December 2017

SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.

  Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia kutoka Idara Kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sylivia Siriwa  akizungumza na wanakijiji wa vijiji vya Chilonwa na Msanga wakati wa Semina ya uwezeshaji wananchi kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo.
 Mwanasheria kutoka Idara Kuu Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Denis Bashaka akitoa ufafanuzi wa masuala ya kisheria  na jinsi sheria inavyoweza kupambana na ukatili wa kijinsia kwa wanakijiji wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Idara ya Ustawi wa Jamii Idara kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.Amina Mafita akielezea nafasi na wajibu wa maafisa Ustawi wa Jamii katika katika kuisaidia jamii kupambana na ukatili wa kijinsia katika maeneo yao kwenye Semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Afisa Kutoka Idara ya Sera na Mipango (Idara Kuu Kaendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) Bw.Setho Ojwando akielezea jinsi Serikali inavyotekeleza Mpango Kazi wa Kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017 kwenye Semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Idara Kuu Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Hanifa Kilua akielezea nafasi na wajibu wa Maafisa Maendeleo ya Jamii katika kusaidia jamii kupambana na ukatili wa kijinsia kwenye Semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Mkurugenzi  wa Kituo cha Amani, Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania  Bw. Jaluo Karebo  akieleza jinsi Kituo chake kinavyowasaidia wananchi katika kuwapa msaada wa kisheria katika harakati za kupambana na ukatili wa kijinsia kwenye Semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Mwakilishi wa Action Aids Bi. Rejoice Matanga akieleza jinsi Taasisi yake inavyosaidia na Serikali na wadau wengine wa wanawake na watoto katika kupambana na ukatili wa kijinsia kwenye Semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Kikundi cha Ngoma cha Samari cha Wilayani Chamwino  kikitoa burudani wakati wa semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa Kijinsia katika Maeneo yao katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 
 Wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Wataalam kutoka Serikalini na Mashirika Yasiyoya Kiserikali jinsi ya  kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. 

Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad