HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 15, 2017

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK SHEIN AJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA MASJID NUNGE DODOMA MJINI.


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma Mjini leo 15/12/2017..(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Mkoani Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitowa nasaha zake baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nungwe Dodoma Mjini leo 15/12/2017(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad