HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 25 December 2017

RAIS MAGUFULI ATOA NENO KWA WATANZANIA KATIKA SIKUKUU YA CHRISMASS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya.

Magufuli ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea sikukuu hizo kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa pamoja ili nchi iweze kufanikiwa zaidi na zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad