HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 21, 2017

KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein kushoto akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein kushoto akisalimiana na Prof. Alawiya Omar Swaleh mara baada ya kuwasili katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein  akikunjuwa Kitambaa kinachoonesha Picha ya Mtunzi mahiri wa Vitabu na aloeneza lugha ya kiswahili kwa njia hio Muhammed Said Abdulla (BWANA MSA)mara baada ya kuwasili ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani kwa ajili ya uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili Kikwajuni mjini Unguja.
 Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Mohammed Seif Khatib akitoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi  katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo alipokuwa akitohotuba yake ya Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed  Shein katikati akiwa katikapicha ya pamoja na Viongozi mbalimbali baada ya kuzindua Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja

PICHA NA YUSSUF SIAMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad