HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 19, 2017

CBA BANKI WATOA MSAADA WA MATOFARI NA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI YA KAWE UKWAMANI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto)akiongea na baadhi ya wanafanzi wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam walipotembelea shule hiyo  kukabidhi msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule hiyo. Kulia ni Afisa elimu Sekondari  Wilaya ya Kinondoni , Rogers Shemelekwa na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo  Safina Egha.
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa benki ya  CBA kwa wateja binafsi. Julius Konyani,  akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari  Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam Safina Egha, mara baada ya   kukabidhi msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3   na mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(katikati)kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule hiyo.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto)akiongozwa na  mwalimu mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali  wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam , Ajuaye Yusuph kukagua mazingira  wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi  msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(katikati)akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongozwa na  mwalimu  mkuu wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam  Safina  Egha (Kushoto) na mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali  wa, Ajuaye Yusuph  (kulia) wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi  msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(wapili kulia, Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa benki ya  CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani na  mwalimu  mkuu wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam  Safina  Egha (Kushoto)  wakimsikilza   mwalimu mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali  wa, Ajuaye Yusuph  (kulia)  akiongerea juu ya ubovu wa madarasa wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi  msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa  shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi  msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
 Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto) akipongezwa na  afisa elimu wa sekondari wilaya ya Kindoni ,Rogers Shemwelekwa  mara baada ya  kupokea msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad