HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 15 November 2017

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI TANZANIA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China Nchini Tanzani Bibi Wang Ke nakufanya naye mazungumzo ya kikazi ofisini kwake Mjini Dodoma leo  Novemba 15, 2017.
 .Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza jambo kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Mbunge) Mwigulu Nchemba wakati wa  kikao cha Tisa cha Bunge leo Novemba 15, 2017 Mjini Dodoma.
 PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad