



Msanii Mimi Mars akiteta jambo na mfanyakazi wa duka la Tigo mtaa wa Stand Morogoro mara baada ya Wasanii kutembelea duka hilo.

Mteja wa Tigo mkoani Morogoro, Violent Mongi (wa pili kushoto) akikabidhiwa zawadi na Wasanii Vee Money, Genevieve na GNako mara baada ya mteja kupata huduma ndani ya duka hilo.

Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Dorcas James akitoa huduma kwa wateja.

Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Theodore John akitoa huduma kwa wateja waliofurika kwenye duka hilo kupata huduma mbalimbali za bidhaa zitolewazo ndani ya msimu huu wa Tigo Fiesta kwa bei nafuu.
No comments:
Post a Comment