HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 10 November 2017

VIDEO:DC NYASA AITUPIA LAWAMA TBA KWA KUKWAMISHA UJENZI WA OFISI YA MKURUGENZI

Mkuu wa wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba amemwomba mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kuhakikisha anaingilia kati ujenzi wa nyumba yake ,ofisi ya mkurungenzi baada ya kuonekana TBA kushindwa kuifanya kazi kwa wakati huku TBA wakida kuwa maji ndiyo tatizo licha ya kuzungukwa na ziwa naysa habari kamili hii hapa video yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad