HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 17, 2017

UONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO MAALUM WAZIRI MAKAMBA

 Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi  tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu​ ​hiyo​ ​Bw.​ ​Vian​ ​Nchimbi.  
 Viongozi wa timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi tuzo  maalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na  kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo Bw. Stephen Ngonyani,  Mwenyekiti Kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda na shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi. 
Viongozi​ ​wa​ ​Timu​ ​ya​ ​Majimaji​ ​wakiwa​ ​Ofisi​ ​kwa​ ​Waziri​ ​Makamba. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad