Mtaa Kwa Mtaa Blog

TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

 MSHAMBULIAJI wa Taswa Fc, Said Seif (kushoto) akiruka kumkwepa beki wa Polisi Fc, Andew Thomas, wakati wa mchezo wa kirafiki katika Maadhimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Nov 4 katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, yakitarajia kumalizika Nov 9 mwaka huu. Katika mchezo huo Taswa Fc ilishinda mabao 5-0. Picha na Muhidin Sufiani.
DCP Mary Nzuki wa Jeshi la Polisi, akimkabidhi Ngao ya ushindi Nahodha wa Taswa Fc, Willbert Moland, baada ya Taswa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Polisi katika mchezo wa kirafiki wa Maadhimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Nov 4 katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, yakitarajia kumalizika Nov 9 mwaka huu. Picha na Muhidin Sufiani.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget