HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 24, 2017

Tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Jumamosi Jijini Dar

Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na wengine ni wasanii.

Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume

Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike

Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo

Mdau akipata picha na msanii Vanessa. Wasanii Aslay na Rich Mavoko wakisalimiana jna wafanyakazi wa duka la Tigo Mlimani city walipotembelea duka hilo leo mchana.
Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo

Mkurugenzi mkuu wa Tigo Tanzania Simon Karikari akisalimiana na msanii Vanessa Mdee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad