HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 12 November 2017

SHIRIKA LA WE CARE TANZANIA NA TPB BANK WACHANGIA DAMU JIJINI MBEYA

Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya TPB wakichangia damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya Novemba 11, 2017  .
Afisa Oparesheni Benki ya TPB,   Mustafa Mmanga akichangia damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe tamasha hilo la uchangiaji Damu limeandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la WE CARE TANZANIA na kudhaminiwa na Benki ya TPB ambapo kauli mbiu ya tamasha hilo ''NIOKOE NIISHI ''.
Meneja benki ya TPB mkoa wa Mbeya, Humphrey Julius akipokea cheti shukrani kutoka kwa Mkurugenzi wa shirika la WE CARE, Bi. Elizabeth Maginga kwa katambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha zoezi la uchangiaji Damu jijini Mbeya .
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika tamasha hilo la uchangiaji damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya.
Mkurugenzi shirika la WE CARE,  Bi. Elizaberth Maginga akizungumza katika Tamasha hilo la uchangiaji damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya . 
Zoezi la Uchangiaji likiendelea
Tpb benki wakisakata rumba
Benki ya TPB katika picha ya pamoja na Meza kuu..
Vijana wa Boda boda katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TPB. Picha Mr pengo na JMblog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad