Mtaa Kwa Mtaa Blog

ALPHA ABDUL ASHINDA KINYANG'ANYIRO CHA TIGO FIESTA SUPA NYOTA 2017 MTWARA

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota toka mkoa Mtwara, Alpha Abdul akionesha umahiri wake wa kufokafoka kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mshindi wa shindano hilo la kusaka vipaji leo. 
Tano bora walioingia kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 mkoani Mtwara. 
Majaji wakiongozwa na Nickson George (katikati) wakijadili jambo. 
Tatu bora walioingia kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota Mtwara.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget