HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 27, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA JAJI MKUU WA TANZANIA ALIPOFIKA KUJITAMBULISHA LEO IKULU.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Kijarida cha Mahakama Kuu Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis  Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akiwa amefuatana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Profesa Ibrahim Hamis Juma, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo.27-11-2017. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad