HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 13, 2017

KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM.

  Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Suzan Mlawi akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii na kufuata Sheria za Utumishi wa Umma.
  Naibu Katibu Mkuu  Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Bw. Nicholaus Willium akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa kujituma na kwa ushirikiano.
Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akizungumza  wakati wa kikao cha Watumishi wa Wizara  ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad