HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 8 November 2017

BAKHRESA FOOD PRODUCT WAENDESHA WARSHA KUHUSIANA NA MBINU BORA ZA KILIMO KWA WAKULIMAMkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Hassan Sanga akizungumza na wakulima,wasafirishaji wa matunda katika warsha ya siku moja iliyoanadaliwa na Bakhresa Food Product –kitengo cha kuchata matunda leo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
.Mkurugenzi wa Mahusiano wa Makampuni ya Bakhresa, Hussen Sufian Ally akizungumza na wakulima,wasafirishaji wa matunda kuhusu mbinu bora za uvunaji na usafirishaji wa matunda bila kupoteza ubora wake, leo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Sehemu ya wakulima na wasafirishaji wa matunda wakifatilia mada mbalimbali katika warsha hiyo uliyo anadaliwa na Bakhresa Food Product –kitengo cha kuchata matunda leo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Wakulima na wasafirishaji wa matunda wakitembele maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad