HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 8, 2017

YATOA HUDUMA ZA UPIMAJI KWENYE BONANZA LA MICHEZO JIJINI TANGA LEO

Afisa Mdhibiti wa Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga,Dkt Lwi Kupaza akiangalia taarifa za moja ya wakazi wa Jiji la Tanga ambao walijitokeza kupima uzito,sukari na presha wakati wa bonanza la michezo ambalo limefanyika leo kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu.
Daktari wa NHIF kushoto akimpima presha Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati wa bonanza la michezo.
Afisa Mdhibiti Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Dkt Lawi Kupaza akichukua maelezo ya Ofisa wa Polisi kutoka Ofisi ya RCO,Saidi Mwagara wakati wa bonanza hilo .





Afisa Madai wa NHIF mkoani Tanga,Marry Daniel katikati aliyevaa tisheti ya njano akifuatilia taarifa wakati wa wananchi walipojitokeza kwenye banda lao kwenye bonanza la michezo ambalo lilifanyika viwanja wa shule ya Sekondari Popatlaly kupima afya .

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi akiwa kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) kuangalia zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo 150 waliweza kupima afya ambapo kati yao 

waliokuwa na uzito mkubwa 65,waliokutwa na sukari juu wanne,waliokuwa na Presse sita na wasiokuwa na matatizo 75 




Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba akiwaongoza askari wa Jeshi hilo kuwavuta kamba Bandari Tanga wakati wa Bonanza hilo leo

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba akiwaongoza askari wa Jeshi hilo kuwavuta kamba Bandari Tanga wakati wa Bonanza hilo leo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba kulia akifurahia jambo wakati wa bonanza hilo.
Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Tanga,Crispin ngonyani akiwaongoza idara hiyo kuvuta kamba kwenye bonanza hilo. Wa Pili kutoka kushoto ni Afisa wa NHIF Mkoa wa Tanga akiteta jambo na wanamichezo walioshiriki bonanza hilo leo.


Afisa Madai wa NHIF mkoani Tanga,Marry Daniel kulia kushoto ni Afisa Madai wa Mfuko huo pia Petro Aloyce wakigawa vipeperushi vinavyohamasisha huduma wanazozitoa kwa wanamichezo 


Afisa Madai wa NHIF mkoani Tanga, Marry Daniel kulia akiendelea kuwahamaisha wanamichezo namna ya kuweza kujiunga na mfuko huo.
Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoani Tanga, Sadick Nombo kushoto akibalishana mawazo na Afisa Utumishi Mkoa wa Tanga,Jakobo Kingazi wakati wa bonanza hilo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi akisalimiana na moja kati ya timu zilizokuwa zinashiriki bonanza hilo ambapo alisema michezo ina imarisha mahusiano mazuri kazini na ni muhimu kuimarisha miili yao na kuongeza ufanisi.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi katika akiwa kwenye picha ya pamoja.

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad