HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 14 October 2017

VIDEO:RC RUVUMA ATOA AGIZO NZITO KWA TANESCO MKOA NA WILAYA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Bilinith Mahenge amemwagiza meneja wa shirika la umeme wilaya ya namtumbo na mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wanapeleka huduma ya umeme katika chuo cha mifugo na kilimo MAHINYA kilichopo katika wilaya ya hiyo. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad