HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 24, 2017

VIDEO: WANANCHI WAANZA UJENZI WA ZAHANATI KWA NGUVU ZAO

Serikali imewahakikishia wakazi wa halmashauri ya mji wa nanyamba mkoani Mtwara kuanza kupata huduma ya upasuaji miezi mitatu ijayo kufuatia kuanza ujenzi wa kituo cha afya katika halmashauri hiyo Wakazi wa halmashauri hiyo kwasasa wanalazimika kusafiri kwenda halmashauri ya jirani ya tandahimba au Mtwara jambo ambalo wamekuwa wakilalamikia kwamba linaongeza gharama za matibabu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad