HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 24 October 2017

CRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA SOKA DUNIANI


Cristiano Ronaldo ametajwa kuwa mchezaji bora soka wa kiume kwa mwaka 2017 na Shirikisho la Soka la Dunia FIFA Jijini London.Mshambuliaji huyo wa Real Madrid na Ureno amemshinda Lionel Messi wa Barcelona na Neymar wa Paris St-Germain.Ronaldo, 32, aliisaidia Real Madrid kushinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na ubingwa wa La Liga.
Cristiano Ronaldo akishukuru kwa tuzo huku akiangaliwa na Diego Maradona pamoja na Ronaldo de Lima
Cristiano Ronaldo akiwa na tuzo yake pamoja na kocha wake Zinedine Zidane aliyeshinda tuzo ya kocha bora
  Cristiano Ronaldo akiwa na mtoto wake pamoja na mpenzi wake katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad