HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 6 October 2017

MKAZI WA KATA NA KIJIJI CHA BUKONDO WILAYANI GEITA AMEFARIKI BAADA YA KUSHAMBULIWA NA MAMBA

Kichaka ambacho kipo ndani ya ziwa Viktoria na baadhi ya mitumbwi ya wavuvi ambacho ndicho kinasadikika mamba huyo upenda kujificha kwenye maeneo hayo. 
Ramadhan Dadila ni moja kati ya watu ambao walikuwa na marehemu hapa anazungumza na waandishi wa habari namna ambavyo waliachana wakati wakiwa kwenye shughuli za uvuvi. 
Afisa mtendaji wa Kijiji hicho Bw,Beatus Mazezele akielezea namna ambavyo walipatiwa taarifa ya mtu huyo kushambuliwa na mamba . 
Wanakijiji wakiwa wamekusanyika kando kando ya fukwe wakisubilia kuanza kumuwinda Mamba . 
Picha na maduka online 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad