Mtaa Kwa Mtaa Blog

MHAGAMA : HAYATI ASKOFU CASTOR MSEMWA ALIKUWA KIUNGO MUHIMU KWA MIRADI YA KANISA KUWEZESHA HUDUMA ZA SERIKALI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha rambi rambi wakati alipofika kushiriki maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama  akiwa na spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, wakati wa misa ya  maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa salaam za serikali wakati wa maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, akinena kuhusu kifo cha Hayati askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget