HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 4 September 2017

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR DK. KHALID SALUM AFUNGUA MKUTANO WA 34 WA NCHI ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA

Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akifungua Mkutano wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika (17th ESAAMLG Council of Ministers and 34th Task Force Senior Officials Meetings Zanzibar Beach Resort Zanzibar’) kuhusiana na kudhubiti Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kushirikisha Nchi 18 za ukanda huo Mkutano hu utakuwa wa Siku wa siku tano hadi tarehe 8 mwezi huu.
Waziri wa Fedha na Mipango akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa kimataifa unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kuwashirikisha Wadau wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofunguliwa leo hadi tarehe 8/9/2017.
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akifungua mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Wajumbe wa mkutano huo kutoka Tanzania wakifuatilia ufunguzi huo wa Mkutano wa 34 wa ESAAMLG unaofanyika katka ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kikosi Kazi Mirirai Chirambe akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya ufunguzi ikitolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nchini Lusotho Ms. Teboho Mukela akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika kuzungumzia mkakati wa kupiga vita Utakatishaji wa Fedha Haramu unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Resort Mazizini.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Kupambana na Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dr Elianonye Kisanga, akizungumza wakati wa mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. unaowakilisha na Nchi 18 za ukanda huo. akitowa maelezo ya Ajenda ya mkutano huo kwa wajumbe baada ya kufunguliwa na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed.
Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiwa na viongozi wa meza kuu wakifuatilia maelezo ya Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Dr. Kisanga, akitowa maelezo baada ya uzinduzi huo.
Wajumbe wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuufungua leo asubuhi.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akizungumza na waandishi wa habari baada ya hafla ya ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya zanzibar beach resort mazizini zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Kudhibiti Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika Dr. Kisanga akizungumza na waandishi wa habari madhumuhi wa mkutano huo na mikakati yake katika kudhibiti na kupambana na utakasishaji wa Fedha Haramu na udaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad