HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 14 September 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizindua awamu ya pili ya Mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai. 
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa maelezo kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) baada ya kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kushoto ni Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. David Omozuafoh (kulia) baada ya kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad