HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 6, 2017

UZINDUZI WA SAFARI ZA PRECISION DAR HADI KAHAMA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akipokelewa na baadhi ya Watumishi wa Shirika la Ndege la Precision Air na Kampuni ya Acacia , alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kahama, mkoani Shinyanga wakati a uzinduzi wa safari za Precision mkoani humo. Nyuma yake ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkulru.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack akikata uteope kuashiria uzinduzi rasmi wa safri za ndege za Shirika la Precision Air Tanzania Plc kati ya Dar es Salaam na Kahama, Mkoani Shinyanga. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu (mwenye kofia) na Meneja Uratibu na Mahusano wa Precision, Hillary Mremi (kulia).
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akijadiliana na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu (mwenye kofia) wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za shirika la Precision Air kati ya Dar es Salaam na Kahama, mkoani Shinyanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad