HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 15 September 2017

UJUMBE WA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKIWA KATIKA ZIARA YA MAFUNZO NCHINI CHINA

Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Mhe. Augustino Manyanda Masele (wa pili kulia waliokaa) wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wabunge iliyofanyika jana katika Jiji la Fuzhou nchini China. Ujumbe huo uko nchini China kwa wiki mbili kwenye ziara ya mafunzo yaliyoandaliwa na Wizara ya Biashara ya nchi hiyo. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad