HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 11 September 2017

PICHA ZA BUNGENI LEO.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kuhusu matumizi ya silaha   za jadi hapa nchini na hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuzuia uzagaaji wa silaha hizo.
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akijibu miongozo ya wabunge  mara baada ya kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Wzairi wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge akitoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi katika Wilaya ya Ngara wanapata huduma za maji.
 Naibu   Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia  injinia  Stella Manyanya akitoa  ufafanuzi kuhusu  jinsi  Serikali ilivyofanikiwa  katika   mpango wa elimu bure  hapa nchini.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Tate Ole Nasha akizungumzia mkakati wa Serikali kuhakikisha kuwa Maafisa ugani katika maeneo yote hapa nchini  wanatekeleza majukumu yao ipasavyo katika kuwahudumia wananchi.(Picha na Frank Mvungi- Maelezo Dodoma)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad