HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 11 September 2017

Picha: Kimbunga cha Irma chaharibu Marekani vibaya

Wakazi wa jimbo la Florida wakiondoka kwa magari kujisalimisha na kimbunga Irma kilichoanzia Kaskazini ya pwani ya Cuba na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha huku wengine wakiwa hawana mahali pa kukaa baadaya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mklai kuezua na kuharibu makaazi ya watu.
miti ikiwa imeanguka barabarani baada ya kushindwa kuhimili upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa kutokana na kimbunga Irma.
Wakaazi wa Florida wakijiandaa na kimbunga Irma kabda hakijileta madhara zaidi.
Juu na chini ni makaadhi ya watu Cuba walivyoathirika kutokanana kimbunga Irma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad