HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 19 September 2017

MWANDISHI WA KITUO ITV, SPENCER LAMECK NTONGWE AAGA UKAPERA.

 Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akimvisha pete mke wake Suzan Spencer Ntongwe katika Kanisa la TAG Kinondoni Revival Church  jijini Dar es Salaam.
 Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akisaini cheti ya ndoa na mke wake Suzan Swila  katika Kanisa la TAG Kinondoni Revival Church  jijini Dar es Salaam.
 Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akivishwa pete ya ndoa na mke wake Suzan Swila katika kanisa la TAG Kinondoni jijini Dar es Salaam.


 Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe akimlisha keki mke wake Suzan Swila mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la TAG Kinondoni jijini Dar es Salaam na tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa Blue Pear Ubungo.
 Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe  na mkewe Suzan Swila wakimsalimia wageni mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la TAG kinondoni jijini Dar es Salaam.

Picha za matukio mbalimbali katika harusi ya Mwandishi wa kituo wa Cha Televisheni ya ITV, Spencer Lameck Ntongwe iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad