HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 8 September 2017

MOTO WAZUKA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI MJINI MOSHI MCHANA HUU

Moto umezuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai moto huo ulianza majira ya Saa 6: 47 za mchana hata hivyo jeshi la zima moto kutoka Kiwanda cha TPC kwa kushirikiana na jeshi la polisi wanaendelea na jitihada za kuzima moto huo.

Na Dixon Busagaga.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad