HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 26 September 2017

MASAUNI AFANYA ZIARA WILAYANI RUFIJI, ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI.

 Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akizungumzakatikamkutanowahadharawakatiwaziarayakikaziikiwalengonikukaguamasualayaUlinzinaUsalamanakusikilizamaoninakerozawananchi.MkutanohuoulifanyikakatikaViwanjavyaIkwiriri, wilayani Rufiji,mkoaniPwani.
 MbungewaJimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akizungumzakatikamkutanowahadharawakatiwaziarayakikaziyaNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani),ikiwalengonikukaguamasualayaUlinzinaUsalamanakusikilizamaoninakerozawananchi.MkutanohuoulifanyikakatikaViwanjavyaIkwiriri, wilayaniRufiji,mkoaniPwani.
 WananchiwakifurahiajambokwenyemkutanowahadharawakatiwaziarayakikaziyaNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani), ikiwalengonikukaguamasualayaUlinzinaUsalamanakusikilizamaoninakerozawananchi.MkutanohuoulifanyikakatikaViwanjavyaIkwiriri, wilayani Rufiji,mkoaniPwani.
Mwananchi wa Ikwiriri, JumaSalum, akiulizaswalikwaNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani) wakatiwamkutanowahadharauliofanyikakatikaviwanjawaIkwiriri,wilayani Rufiji,mkoaniPwani.
 Mwananchiwa Ikwiriri, FatmaNassoro, akiulizaswalikwaNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani) wakatiwamkutanowahadharauliofanyikakatikaviwanjawaIkwiriri,wilayaniRufiji,mkoaniPwani.
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akiagananawananchibaadayakumalizamkutanowahadhara,wakatiwaziarayakikaziikiwalengonikukaguamasualayaUlinzinaUsalamanakusikilizamaoninakerozawananchi.MkutanohuoulifanyikakatikaViwanjavyaIkwiriri, wilayaniRufiji,mkoaniPwani.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad