HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 7 September 2017

DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPE

 Mshindi  wa Promosheni ya Tusua Mapene, Abdallah Mwalemba ambaye ni dereva wa magari makubwa, akipokea kitita cha Shilingi Milioni 7 toka kwa  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu (kulia)wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi, Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno  “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
 Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu (kulia) akimkabidhi mshindi  wa Promosheni ya Tusua Mapene, Octavian Ngosongo ambaye ni fundi magari wa Mabibo jijini Dares Salaam, kiasi cha fedha taslimu Sh. milioni 2 alizojishindia kupitia promosheni hiyo, Dar es Salaam leo.Katikati ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi,Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno  “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
 Washindi wa Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tanzania PLC, Octavian Ngosongo (kushoto) na Abdallah Mwalemba wakionyesha fedha walizokabodhiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu (kulia), Dar es Salaam leo wa pili kulia ni Meneja wa  Vodashop Tawi la Mlimani City,Vanessa Mlawi Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno  “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Washindi wa Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tnzania PLC, Octavian Ngosongo (kushoto) na Abdallah Mwalemba,wakipongezwa kwa kupigiwa makofi na Meneja wa  Vodashop Tawi la Mlimani City,Vanessa Mlawi (katikati) baada ya kukabidhiwa vitita vyao na  Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu (kulia), Dar es Salaam leo walivyojishindia kupitia promosheni hiyo, Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno  “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad