HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 30 September 2017

CRDB BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017. Hafla hiyo pia iliambatana na uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dkt. Charles Kimei, kuzungumza katika hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi wa Mikakati na Ubunifu wa Benki ya CRDB, Goodluck Nkini akizungumzia mikakati mbalimbali ya Benki hiyo kwa wateja wake, wakati hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akisisitiza jambo katika hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017. 
 Sehemu ya Wageni waliofika kwenye hafla hiyo.
 
Baadhi ya Watendaji wa Benki ya CRDB
Picha ya Pamoja.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akisikiliza jambo kutoka kwa Mmoja wa wateja wakubwa wa Benki hiyo, Waziri wa Zamani, Prof. Peter Msola, wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akifurahi jambo na Mteja wa Benki hiyo, Mhandishi Felchesmi Mramba, wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017. Kushoto ni Soud Bhalaghash kutoka Kampuni ya Supeldoll.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akibadilishana kadi na Mmoja wa wateja wakubwa wa Benki hiyo, Yohana Mtweve, wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad