HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 5, 2017

ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE

 Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Njombe, Benedict Kitongwa (kulia) akimkabidhi mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 15/- Alto Mdenye (katikati) alizojishindia kupitia Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno  “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu, Anaeshuhudia kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Njombe, Aloycius Shija
Meneja wa Benki ya NMB Njombe,Aloycius Shija, Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 15/- Alto Mdenye (katikati) wakifurahia jambo pamoja na Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Njombe,Benedict Kitongwa,Wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa kitita chake alichojishindia kupitia Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno  “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad