HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 12 September 2017

AJALI: LORI LAGONGANA NA GARI DOGO NA KUPIGA MWELEKA KIMARA BUCHA USIKU HUU

 Lori lenye namba za usajili T483BHZ lililokuwa likisafirisha mafuta kuelekea nje ya nchi limepata ajali baada ya kuigonga gari ndogo aina ya Toyota IST yenye namba T727CVM eneo la Kimara Bucha jijini Dar es Salaam na kupelekea tela la Lori hilo kupinduka na kumwaga mafuta barabarani. Picha zote na Kajunason/MMG.
 Baadhi ya vijana wakichota mafuta yaliyokuwa yakimwagika kutoka katika tera lililodondoka.
 Muonekano wa gari lilivyokuwa limefunga njia na kusababisha foleni magari kupita barabara ya pembeni. 
Msongamano wa magari katika barabara ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad