HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 16 August 2017

WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Felex Jackson katika Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere Dar es salaam leo August,16/2017 akiwa anaelekea Nchini Cuba Kwa ziara ya kikazi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad