Msanii
Mkongwe wa Muziki Bongo Fleva, Juma Nature akiongoza kundi la TMK
Wanaume Family katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
Msanii wa Bongofleva Barnaba akiimba kwa kutumia Live band katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva , Rehema Chalamila (Ray C) akitoa Burudani katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Msanii wa Muziki wa dansi nchini, Ally Choki akiimba katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Msanii wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes akitumbuiza nyimbo zake za Zamani katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Dj Maharufu kutoka kituo cha Radio cha Clouds Fm Dj Zero akionyesha ufundi wa kuchezea Santuri katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Dj Mkongwe katika uchezeshaji wa Santuri, John Dilinga (DJ JD) Akionyesha ufundi wa kuchezesha Santuri kwa kupiga nyimbo za Zamani katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Msanii kutoka kundi la Wanaume Family ,Rich One akitumbuiza katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager
lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Mashabiki walifurika katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager

No comments:
Post a Comment