HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 29 August 2017

RAIS DK. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MTENDAJI WA KAMISHENI YA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  Prof Kenneth Linyani  Simala wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe alliofuatana nao leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  Prof Keneth Linyani Simala wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  Prof Keneth Linyani Simala wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo 29/08/2017. (Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad