HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 30, 2017

MKUTANO WA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR

 Mkuu wa Kitengo cha mahusiano kwa Umma ZRB Bi Safia Is-haka akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
 Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa walipa kodi Shaban Yahya Ramadhan akitolea ufafanuzi baadi ya maswala yalioulizwa  katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
 Mwandishi wa Habari wa Bomba Fm Radio Mwinyi Sadalla akiuliza maswali katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
 Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Afisa dhamana Idara ya Sheria Khamis Jafar Mfaume akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa  katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad